Salamaleko

Salamaleko

asha ngedere

Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
92
Reaction score
12
nawasalimuni nyote kwa moyo mmoja, kaka zangu, baba zangu, mama zangu na wanawake wenzangu kwa ujumla. jamani, mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi. japo ni mgeni humo ndani, lakini naomba tushirikiane kwa pamoja kuijenga nchi yetu na kuwafukuzia mbali wale wanaoibomoa. au siyo jamani? tukosoane bila kusuguana!
 
sisi hatujambo,sasa Bepari la kihaya umeliacha na nani? Huku hakuna mabepari.
 
heeee haya karibu asha lakini chonde usitupige humu ndani ya JF
 
Back
Top Bottom