Salamu Great Thinkers

kbhoke

Senior Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
104
Reaction score
27
Wapendwa wana JF mimi kbhoke napenda kuwasalimia na kuwaelezeni kwamba nathamini sana mchango wenu wa mawazo ndio maana siku zote lazima nichungulie hapa. Mbarikiwe.
 
Hellow mambers....
Najua nimechelewa ila naamini cjachelewa sana, Muungwana hubisha hodi na kuomba mwongozo, naomba kuwa miongoni mwenu kwenye kuendeleza mema yahumu ndani.
 
Karibu JF ndugu.
 
Karibu sana jamvini.
 
Wapendwa wana JF mimi kbhoke napenda kuwasalimia na kuwaelezeni kwamba nathamini sana mchango wenu wa mawazo ndio maana siku zote lazima nichungulie hapa. Mbarikiwe.

Karibu sana JF...
 
Hellow mambers....
Najua nimechelewa ila naamini cjachelewa sana, Muungwana hubisha hodi na kuomba mwongozo, naomba kuwa miongoni mwenu kwenye kuendeleza mema yahumu ndani.

Karibu sana JF...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…