Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni na siasa za Tanzania. Mie niko vijijini biharamulo magharibi nalima mahindi. Huku ki ukweli CHADEMA ni tishio sana labda CCM watumie pesa za ziada kuhonga hasa dakika za mwisho
.Poleni na siasa za Tanzania. Mie niko vijijini biharamulo magharibi nalima mahindi. Huku ki ukweli CHADEMA ni tishio sana labda CCM watumie pesa za ziada kuhonga hasa dakika za mwisho
Poleni na siasa za Tanzania. Mie niko vijijini biharamulo magharibi nalima mahindi. Huku ki ukweli CHADEMA ni tishio sana labda CCM watumie pesa za ziada kuhonga hasa dakika za mwisho
Tatizo hamja komaa kisiasa,kameni za CHADEMA wanajaa sana vijana ambao wengiwao ni washangiliaji lakini hawapigi kura,CCM imewashika wazee na wanawake ndiomana inauhakika wa kura.
ATENGEZEKE, karibu JF, siasa za Bi'mulo ni moja ya maeneo yenye siasa kali kama za Busanda, Wasioijua Biharamulo waacheni pembeni waisikie hivyo hivyo.Tatizo hamja komaa kisiasa,kameni za CHADEMA wanajaa sana vijana ambao wengiwao ni washangiliaji lakini hawapigi kura,CCM imewashika wazee na wanawake ndiomana inauhakika wa kura.
Poleni na siasa za Tanzania. Mie niko vijijini biharamulo magharibi nalima mahindi. Huku ki ukweli CHADEMA ni tishio sana labda CCM watumie pesa za ziada kuhonga hasa dakika za mwisho