Salamu haigombi

Majotoo

New Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Najisikia raha tu kuwakuta humu, nawasalimia wooooooooote!

Najua kuna wasiopenda hata kujibu wanaposalimiwa lakini bila shaka ndo zimeshafika nami ndio nimeshatinga ndani ya nyumba katikati ya sebule!

Nawapenda wote
 
Weraaaaaaaaa Majoto ndani ya nyumba?? ni yule yule wa kuleeeeeeeeeeee au mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…