SALAMU KUTOKA KWA BARON DE MONTESQUE:Wale Wanaume Wenye Account Za Jamii forum Zenye Majina Ya Kike Na Wanaekti Kama Wanawake.

SALAMU KUTOKA KWA BARON DE MONTESQUE:Wale Wanaume Wenye Account Za Jamii forum Zenye Majina Ya Kike Na Wanaekti Kama Wanawake.

RtsHjcq

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
4,753
Reaction score
5,512
Wale Wanaume Wenye Account Za Jamii forums Zenye Majina Ya Kike Na Wanaekti Kama Wanawake Basi Kwa Moyo Mmoja Kabisa Nawatakia #HappyWomensDay2019

Na wale Wanawake Wenye Ndevu Siku Ya Leo Hamruhusiwi Kusherekea Kwa Sababu Sio Siku Yenu

Subirini Siku Ya Wanaume Tusherekee Pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last edited:
Mkuu umenikumbusha tarehe kama ya leo mwezi kama huu mwaka 1984 siku ya alhamis saa tisa alasiri nilizaliwa katika hospitali ya bugando mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona mbali weweeeee 😂😂😂 Faiza sijui anajinsia gani
 
Back
Top Bottom