dunia ina mambo ngoja nami nimwite mwallu umeona hii kitu hapa chini
View attachment 115802 huyu ni Mtambuzi walimkwida huko Kigali kaja hivi
wiski atoe wapi? we sema unataka kiroba!!!
wiski atoe wapi? we sema unataka kiroba!!!
Muhengaaashemeji huyu pakashume au ndio rohombaya...?
Dada ndo Gilesi auhahahahh, jamani waliunga ID zako, hahahahha yaani nimecheka kweli. Ila Mods hii tabia ya kuunga iD za wapi muiangalie tena, sasa ni nini hiki.
Bujibuji ndie alikuwa na ID yake anajiita gILESI mods waliiunga. sasa threads zilizokuwa kwenye hiyo ID ya giLESI zinatia raha sanaDada ndo Gilesi au
Na nyingine ya mama jj looh nataman nimpate huyo Gilesi nimsomee vizur
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmefukua makabur leohahahahah ngoja niwaite akina Shunie, Jolie Jolie, Mzigua90 waone tena mods walivyomfanyia kaka wa watu walivyounga ID zake. hahahahahahaha. Eti salamu kutoka kwa Bujibuji kumbe anajisemea yeye mwenyewe
Honey huku tuondokee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmefukua makabur leo
[emoji120] [emoji126] [emoji126]Honey huku tuondokee
Natamani video [emoji328] [emoji390][emoji120] [emoji126] [emoji126]