Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Mambo mengi tunayosoma huku tunaona hayana ajira kwa sababu ya soko la ndani lilivyo bovu.
Fikiria mtu amesoma kiswahili na anakomaa kubaki Tanzania, utamfundisha nani na wote wanajua Kiswahili tena wengine wanakuzidi kabisa. Chukulia mfano yule dogo wa UDOM alivyokuwa anaongea kiswahili kizuri japo ni mwanafunzi wa sayansi ya kompyuta.
Kusoma Kiswahili na kubaki Tz ukapambana na kazi za kulipwa kama unapewa rambirambi lazima utalaumu elimu. Lakini umejaribu kuangalia fursa za kwenda nje kufundisha kiswahili...au ndio umezaliwa Tz na utafia Tz? Haya mkuu.
Sikiza wewe, Kiswahili ni dili na unafursa ya kupiga mabovu ileile, niko Marekani nimezurura kiasi wanaofundisha Kiswahili ni wakenya, watz ktk fani hiyo ni wachache mno lakini fursa zinatolewa kila mwakaa.
Acha hizo aisee, ukiweka bando kwenye simu badala ya kushangaa mawowo huko tiktok angalia fursa za kwenda mbele kufanya maajabu.
Naanza kuwasanua mdogomdogo maana wengi huko nyumbani tumelala sana. Na wanaokuja huwa wanaachana na mitandao kabisa na kushindwa kuwapa ABCs walioko nyumbani.
Oya mkuu, hujakosea kusoma kiswahili, unachokosea ni kukomaa kubaki Tanzania.
Salamu Kutoka Marekani.
Mshamba aliyefika Marekani atakuwa anawasanua fursa kidogokidogo.