Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Nilichokiona baadhi ya wabongo wanatamani kuja Marekani, ila akili ya rushwa imetutawala kiasi ambacho badala ya kutafuta namna sahihi ya kuja tunatafuta namna ya kutafuta wa kumpa rushwa ili tufike Marekani.
Akili hiyo imekwamisha mengi sana. Kifupi ni kuwa, ukitafuta wa kumpa rushwa ili uje Marekani utachelewa, cha msingi tulia fuata hatua rasmi.
Njia sahihi za kuja huku ni nyingi...
1. Safari ya kielimu
2. Safari ya kikazi(Rahisi zaidi kwa walimu wa kiswahili)
3. Safari ya kigarakati.
Hizo za magonjwa nk ni ngumu, maana huwezi tibiwa Marekani kwa hela za kuchangishana.
Sasa nizungumzie ya kiharakati. Hiyo ya kiharakati, wewe ongeaongea mtandaoni hadi uanze kutafutwa, ukisikia unatafutwa fasta unaomba nanma unakuja Exile, ikitokea umepona maana hapo wanaweza wakakukata kidaka tonge kabla hujavuka boda.
Hizo mishe za kielimu na kazi hazihitaji mambo mengi, fanya search mtandaoni utaona vitakavyokusaidia kuja.
Mshamba aliyeko Marekani
Nasikia nyumbani kumewaka.