Wakati nikiwa bado mdogo, kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia kuwa, binadamu ni kiumbe katili kuliko vyote! Alisisitiza kuwa vifaru, mabomu, mizinga na silaha za namna hiyo zimetengenezwa si kwa ajili ya kuua tembo, simba au chui, bali ni kwa ajili ya binadamu wenzie! Sasa naamini!!!
Ee Mola tuepushie mbali hali hii!