Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Wakuu humu ndani leo nataka kuwasalimu wote humu,
Kama ifuatavyo;
•Kama wewe ni member wa JF umo humu kwa zaidi ya miaka mi5 hujawahi kuchezea Bunn 👉Shikamoo
•Kama wewe ni member unaandika nyuzi haijalishi zinakiuka na kufutwa ila bado unapost 👉 Shikamoo
•Kama wewe ni member ambaye unashiriki kuchangia JF kiuchumi 👉 Shikamoo
•Kama wewe ni moja ya watu unae elimisha member wenzio kwa uzuri bila ubaguzi humu 👉 Shikamoo
•Kama wewe ni member upo bega kwa bega kugonga kitufe cha like kwenye nyuzi/comment za member wengine 👉 Shikamoo.
Nawasalimu wote hata na nilio wasahau.
Je, wewe unamsalimu nani humu ndani?