Salamu kwa lugha ya Kimasai

Salamu kwa lugha ya Kimasai

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
kwa kikwetu....kipare habari tunasema. tha mithii[za siku] wa shithiaje[umelala je].ningependa kujua ki masai habari ya asubui....habari ya mchana na jioni mnasemaje.
 
Eroo Suphai.....Ephaaaa hii ni kwa wanaume.Yeyoo takwenya.....ikwoooo hii ni kwa wamamama.Wengine wataendelea
 
Back
Top Bottom