MATHEMATICIAN CORNER
Member
- Aug 20, 2016
- 24
- 15
Heloo, nafurahi Leo kushiriki japo salamu na wadau humu JamiiForums. Hii ni mara yangu ya kwanza kutia mguu humu ndani. Na nimelazimika kuingia humu baada ya kushuhudia uhuru na uwazi uliomo humu ndani. Watu wananafasi ya kusema kuchangia na kukosoa. Huu haswa ni utamaduni wa kisomi ni utamaduni ambao kama kila sekta yenye changamoto mbalimali na inapaswa kuutumia. Asanteni wanajamii wote kwani mmenifanya kuwa bize Mara kwa Mara nikisoma nyuzi na michango ya mawazo mbalimbali. Hope tutaenda sawa.
asanteni Sanaa wa ndugu
asanteni Sanaa wa ndugu