Mungu kawaumbua badala ya kwenda iringa wakajaa uwanja wa Taifa kupiga majunguFitina zenu zimegonga mwamba,na mlitegemea tufungwe na AS VITA,mpaka kocha wenu kabaki Dar,Lipuli imewafunga,na As Vita tumewafunga.
Shame on you,mlianza kwa Mbabane,Mkaja,Soura,mafarao,na Vita,sasa mnafeel vipi?Shame on you timu isiyo na mbele wala nyuma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna mtu anaitwa shafii daudi cjui anajisikia vip huko aliko mpe salamu.Mungu kawaumbua badala ya kwenda iringa wakajaa uwanja wa Taifa kupiga majungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dont take it personal bro. Its all about Simba and Yanga and not youFitina zenu zimegonga mwamba,na mlitegemea tufungwe na AS VITA,mpaka kocha wenu kabaki Dar,Lipuli imewafunga,na As Vita tumewafunga.
Shame on you,mlianza kwa Mbabane,Mkaja,Soura,mafarao,na Vita,sasa mnafeel vipi?Shame on you timu isiyo na mbele wala nyuma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo viwango vinapoonekanaMungu kawaumbua badala ya kwenda iringa wakajaa uwanja wa Taifa kupiga majungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shame on him!Mkuu kuna mtu anaitwa shafii daudi cjui anajisikia vip huko aliko mpe salamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha unajifurahisha tu kwamba na ww umepost,hongeratupunguze unafki kama hatuwezi kuacha!
Si kitoto[emoji3][emoji3][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wanaumwaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Not about you too.Dont take it personal bro. Its all about Simba and Yanga and not you
Fitina zenu zimegonga mwamba,na mlitegemea tufungwe na AS VITA,mpaka kocha wenu kabaki Dar,Lipuli imewafunga,na As Vita tumewafunga.
Shame on you,mlianza kwa Mbabane,Mkaja,Soura,mafarao,na Vita,sasa mnafeel vipi?Shame on you timu isiyo na mbele wala nyuma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawaambia humu kwamba kaja Mbabane, Nkana, soura, Al Ahly, koote huko mungu kawakataa hadi leo wamekuja huu sasa uchawi mungu kashawakataa Yanga mkae kimya...Fitina zenu zimegonga mwamba,na mlitegemea tufungwe na AS VITA,mpaka kocha wenu kabaki Dar,Lipuli imewafunga,na As Vita tumewafunga.
Shame on you,mlianza kwa Mbabane,Mkaja,Soura,mafarao,na Vita,sasa mnafeel vipi?Shame on you timu isiyo na mbele wala nyuma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyura kweliNilishawaambia humu kwamba kaja Mbabane, Nkana, soura, Al Ahly, koote huko mungu kawakataa hadi leo wamekuja huu sasa uchawi mungu kashawakataa Yanga mkae kimya...
C. C Barafu la moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Washamba kweli yaani ....Fitina zenu zimegonga mwamba,na mlitegemea tufungwe na AS VITA,mpaka kocha wenu kabaki Dar,Lipuli imewafunga,na As Vita tumewafunga.
Shame on you,mlianza kwa Mbabane,Mkaja,Soura,mafarao,na Vita,sasa mnafeel vipi?Shame on you timu isiyo na mbele wala nyuma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuja wenzako ndio walioenda Taifa..hakuna Yanga wa mjini akaenda Taifa mechi ya mikia