Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ni ukweli usio fichika asilimia kubwa kama 90% ya diaspora wanaishi
kwa kufanya kazi ambazo ni Unskilled Labour.
Wengi wao maisha ni ya kawaida tena ya kuwa busy sana japo wanapenda
kupiga picha maeneo mazuri na kuonesha kwamba ndio maisha yao
halisi.
Aidha diaspora wana mchango mkubwa hapa nchini na kwenye
familia walizotoka.
Lengo la uzi huu ni kuwakumbusha diaspora hasa wale wenye vipato
vidogo waajiandae umri wa kustaafu miaka 50 na zaidi ukifika warudi
nyumbani.
Kwa sababu maisha ya ughaibuni katika uzee yanakuwa na upweke
zaidi bora mrudi nyumbani mkiwa mmejiandaa mtafaidi maisha yetu
ya ujamaa, kwamba angalau utapata wazee wenzako wa kupiga stori
mbili tatu na msaada hasa wa kimatibabu toka kwa ndugu wa karibu.