😂😂😂😂Una kichwa chepesi mno🤣🤣
Karibu JFHabari za majukumu wakuu poleni na hongereni pia.
Nimekuwa nikifatilia jf Kwa muda mrefu na hatimae nimeona na Mimi nijiunge.
Mimi napatikana dsm, na najishughulisha na ufundi wa Umeme, tv, w.mashine,ving'amuzi,na cctv camera, mawasiliano yangu ni 0755 969589 asanteni sn wakuu!
Ile ID yako ya tokea 2012 hautaitumia tena? Vipi kuhusu ile ya toka 2015 unayozuga kwamba ni demu nayo unaitupia kapuni jumla?Habari za majukumu wakuu poleni na hongereni pia.