Salamu kwenu na kadhalika...

WANGU MTENZI

Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
19
Reaction score
6
Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F.

MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE
1.University kwa Kiswahili ni nini?
2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili?
 
Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F.

MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE
1.University kwa Kiswahili ni nini?
2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili?
.
WANGU MTENZI .

University
kwa kiswahili inaitwa chuo kikuu

Hiyo ya sealing board ngoja watakuja wahuzi wengine watakufahamisha maana yake
 
Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F.

MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE
1.University kwa Kiswahili ni nini?
2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili?
Inaitwa DARI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…