Salamu za asubuhi

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Nimejiskia kumshukuru Mungu kwa niaba Yako na Yangu kwa zawadi ya Uhai na Afya njema alizotujalia, hata tunasomana muda huu humu hapa JF.

Ninakuombea Baraka na Neema tele za Mungu wewe ulieanza anza kazi tayari na wewe na unaye elekea kwenye majukumu mbalimbali ya kukupatia riziki.

Mwenyezi Mungu abariki Mipango, Fikra, Mawazo na kazi zako zote kwa maneno na matendo.
Abariki kazi za mikono Yako. Amen

Nikutakie Majukumu Mema ya Leo.
 
Amen
 
MITHALI 8:34-36

³⁴ Ana heri mtu yule anisikilizaye, Akisubiri sikuzote malangoni pangu, Akingoja penye vizingiti vya milango yangu.

³⁵ Maana yeye anionaye mimi aona uzima, Naye atapata kibali kwa Bwana.

³⁶ Bali anikosaye hujidhuru nafsi yake mwenyewe, Na wao wanichukiao hupenda mauti.

HILO NDILO NENO LA MUNGU
 
Amina
 
Amen napokea
 
Nikutakie Majukumu Mema ya Leo.
MITHALI 8:34-36
(1)
Mungu Baba asante, kwa zawadi ya uhai,
Tumepewa afya njema, tunakushukuru sana.
Kila siku tunapoamka, tunakutukuza jina lako,
Tunaimba na kusifu, Mungu Baba asante.


(2)
Tunapoanza kazi zetu, twaomba baraka zako,
Utupe neema tele, katika majukumu yetu.
Mipango yetu ifanikiwe, fikra zetu ziwe za kweli,
Mungu Baba tusaidie, katika kazi zetu.


(3)
Mungu Baba tunakuomba, utubariki siku zote,
Kazi za mikono yetu, ziwe na mafanikio.
Tunaimba na kusifu, Mungu Baba asante,
Kwa zawadi ya uhai, na afya njema.


Na Wote tuseme Amen.
 
Amen 🙏
 
Amen
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…