Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenHapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:
View attachment 2057255
View attachment 2057259
Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Ana hoja nzuri ila DICTATOR Samia sijui kama ataelewa
Haki huinua taifa.
Kuna watu wana roho mbaya
Mungu mbariki Baba AskofuHapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:
View attachment 2057288
View attachment 2057259
Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Mwambie ashughulikie matatizo ya KKKT kwanza kuna wizi na uonevu mkubwa sana kwenye kanisa lake. Juzi tu huko Mbeya kulikuwa na shida na yeye akatuhumiwa kwenye mgogoro huo. Mwambie atoe kiboriti kwanza kwenye jicho lake halafu ndiyo ataweza kuona vizuri matatizo ya wengine.Hapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:
View attachment 2057288
View attachment 2057259
Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Askofu amegusa pale pale; "kwasababu wana nguvu ndio wanawaonea wengine"
Haramu nyingine huleteleza mema ?!. Hivi ukiangalia ulichokikoment na wengine , unajichukuliaJe ?!. Hata kina Polepole waliwajibu watu kwa jeuri. Leo wanaliaMwambie ashughulikie matatizo ya KKKT kwanza kuna wizi na uonevu mkubwa sana kwenye kanisa lake. Juzi tu huko Mbeya kulikuwa na shida na yeye akatuhumiwa kwenye mgogoro huo. Mwambie atoe kiboriti kwanza kwenye jicho lake halafu ndiyo ataweza kuona vizuri matatizo ya wengine.
Jibu hoja wewe mjaluo acha utopolo!Haramu nyingine huleteleza mema ?!. Hivi ukiangalia ulichokikoment na wengine , unajichukuliaJe ?!. Hata kina Polepole waliwajibu watu kwa jeuri. Leo wanalia
Fungulia uzi. TujadiliJibu hoja wewe mjaluo acha utopolo!
Kinachoongelewa hapo ni hizo salamu za kuonya au umerukia tu bila kujua content ya thread mjaluo?Fungulia uzi. Tujadili
Hapa watu wanaongelea salaam za Christmas na mwaka mpya