Salamu za Heri: Shoo aonya dhidi ya Uonevu

Kuna watu wana roho mbaya

Kwa hakika:

1. Anayetesa watu kwa kuwabambikia kesi wengine na Sikukuu hizi.
2. Aliyefikia kuweka watu kwenye viroba.
3. Akatokomea na kina Lijenje, Ben, Urio, Malema na wenzao kusikojulikana.
4. Aliyeratibu na kuwaua wale wafanya biashara wa madini wa Ifakara.
5. Aliyeratibu na kutekeleza shambulio la kumtoa roho Lissu.
6. List ni ndefu sana.

Mtu huyo ni muovu na ana roho mbaya kweri kweri.
 
Hapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:

View attachment 2057288

View attachment 2057259

Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Mwambie ashughulikie matatizo ya KKKT kwanza kuna wizi na uonevu mkubwa sana kwenye kanisa lake. Juzi tu huko Mbeya kulikuwa na shida na yeye akatuhumiwa kwenye mgogoro huo. Mwambie atoe kiboriti kwanza kwenye jicho lake halafu ndiyo ataweza kuona vizuri matatizo ya wengine.
 
Askofu amegusa pale pale; "kwasababu wana nguvu ndio wanawaonea wengine"

Askofu Shoo, Askofu Mwamakula, Sheikh Ponda na waungwana wengine huwa hawakopeshi (terms cash). Mzee wa upako alikuwa huyu:

Kesi ya Mbowe: Mzee wa Upako anena Mazito

Tusubiri mrejesho wa salamu za Heri toka kwake na kutoka kwa askofu Niwemugizi na wenzao.

Bwana hajawahi kuwasahau waja wake katika dhiki.
 
Haramu nyingine huleteleza mema ?!. Hivi ukiangalia ulichokikoment na wengine , unajichukuliaJe ?!. Hata kina Polepole waliwajibu watu kwa jeuri. Leo wanalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…