Salamu za Heri zinapoamsha watu kutema Nyongo

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kuwepo kwa wimbi la hamasa za chuki kujibu salamu za Heri si mambo ya kufumbia macho wala kupiga rungu.

Kama taifa, tumefikaje huku?

Hoja hujibiwa kwa hoja.

Kwa hamasa kali zilizopo kufuatia salamu mbili hizi:

Kwa hakika kuna mahali tume furuku kweri kweri.

"Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo" - RIP JKN.

Hisia hizi ni upuuzi mtupu? Kwa idadi kubwa hii ya watema nyongo?

Penye moshi pana moto.
 
Matunda ya kutotendeka haki katika mazingira ya kupangiliwa.Tena mratibu akiwa ni aigiipmanyota na vijana wake akiba badluck&co
 
Tunaishi kwa mazoea sana, haki za wanyonge kuminywa mwaka mzima ila tunasubiri december ifike tutakiane heri ya x-mass na mwaka mpya, tena wengine wakiwa jela kwa kesi za kutengeneza, haya mazoea bora yakemewe mapema, yakiendekezwa yatajenga tabia.
 
Kile kiti sijui kina nn kila anayekikalia anageuka jeuri kweli kweli
 
Siyo siri kwa majibu yaliyofutia salamu hizi, labda ni kujaribu kujidanganya tu ...

Hatupendeki!

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
 
Kile kiti sijui kina nn kila anayekikalia anageuka jeuri kweli kweli

Ni huku kwetu tu ambako Mtikila anasema ule unyani ungali haujatoka:

Your browser is not able to display this video.

Mbona kwa mabeberu au hata Kenya, Zambia, Malawi, Botswana, Namibia na hata SA siyo hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…