Salamu za kuuaga mwaka kwa vijana wenzangu

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Habari wadau,

Jambo la kujifunza kabla mwaka haujabadilika ni hili hapa, kama kuna silaha iliowahi kuwa na nguvu duniani basi ni pesa tu. Itakupa vingi vizuri na kila aina ya raha ya maisha.

Tuachane na maswala ya kutaka kumridhisha demu kwa kupiga show sijui mcongo na nini vyote havisaidii hivyo ni umbumbumbu tu. Kiasili wanawake ni opportunist and selfish creatures na itabaki kuwa hivyo. Pale anapoona nafsi yake itafarijika kwa chochote iwe material things ama chochote tu lazma ataachia ufa wake tu hata kama anakupenda vipi and you can't do shit.

Pia ikumbukwe kuwa tupo 3rd world country ambapo njaa ni kipaumbele.

Huku ujanja ni kuishinda njaa tu sio kingine, kijana ukiwa na mawe ya kutosha kumiliki kigari na mjengo mkali tu hao wanawake wote wazuri watakuwa sehemu ya maisha yako bila hata kuwafata na kula vumbi la mkongo tena utaonekana mashine kinoma. Chukueni mfano kwa vibabu vyenye mawe vinavyokula watoto wabichi hapo downtown.

Tutafte pesa wanangu, wenye ndoa tayari wapendeni wake zenu sana na wapeni maisha, mtabarikiwa sana. Msisahau pesa ndio kila kitu duniani. Cars,Family,Houses,Health,Comfort vyote vinategemea pesa.

# Tujipangeni vyema mwaka ujao uwe wa mafanikio zaidi ya huu na mungu atabariki hustle zetu.
 
Huo ndio ukweli ukipaka vumbi la Kongo hata chips kavu za buku jero huwezi kumnunulia atakukimbia na vumbi lako
 
Mm natafuta hela ya kuishi na watt wangu tu habari ya madem siku hz nimeaachana nayo
 
ingea ad mwisho,nakufananisha na magufuri nsema kweli
 
utawala huu vyuma vilivyokaza ukishapigwa mzinga hata uume hausimami kwa huo mchepuko

Hehehehe sasa hapa uwe na demu anatokea kilimanjaro anakwambia anataka kwenda kusalimia kwao unapiga hesabu sio chini ya laki mbili halaf january ada hii hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hiki kipindi sio cha kuendekeza michepuko. Michepuko tunairudia katikati ya machi 2018, kwa sasa unarudisha mpira kwa mama watoto
 
Ha
Habari wadau,

Jambo la kujifunza kabla mwaka haujabadilika ni hili hapa, kama kuna silaha iliowahi kuwa na nguvu duniani basi ni pesa tu. Itakupa vingi vizuri na kila aina ya raha ya maisha.

Tuachane na maswala ya kutaka kumridhisha demu kwa kupiga show sijui mcongo na nini vyote havisaidii hivyo ni umbumbumbu tu. Kiasili wanawake ni opportunist and selfish creatures na itabaki kuwa hivyo. Pale anapoona nafsi yake itafarijika kwa chochote iwe material things ama chochote tu lazma ataachia ufa wake tu hata kama anakupenda vipi and you can't do shit.

Pia ikumbukwe kuwa tupo 3rd world country ambapo njaa ni kipaumbele.

Huku ujanja ni kuishinda njaa tu sio kingine, kijana ukiwa na mawe ya kutosha kumiliki kigari na mjengo mkali tu hao wanawake wote wazuri watakuwa sehemu ya maisha yako bila hata kuwafata na kula vumbi la mkongo tena utaonekana mashine kinoma. Chukueni mfano kwa vibabu vyenye mawe vinavyokula watoto wabichi hapo downtown.

Tutafte pesa wanangu, wenye ndoa tayari wapendeni wake zenu sana na wapeni maisha, mtabarikiwa sana. Msisahau pesa ndio kila kitu duniani. Cars,Family,Houses,Health,Comfort vyote vinategemea pesa.

# Tujipangeni vyema mwaka ujao uwe wa mafanikio zaidi ya huu na mungu atabariki hustle zetu.
Hahaha
 
Back
Top Bottom