Salamu Za Mei Mosi Kwa Watumishi Wa Umma

Salamu Za Mei Mosi Kwa Watumishi Wa Umma

MICHAEL SON

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2020
Posts
458
Reaction score
536
Asalaam poleni na Hongereni kwa mapambano ya Covid19.. ALLAH atatufanyia wepesi Inshaallah.naamin umesema Amin.
Naomba nitumie jukwaa hili kuwapa salamu za MEI MOSI Watumishi wa UMMA kada zote.. niwapongeze sana kwa uvumilivu wao wa Miaka 4, bila nyongeza ya MISHAHARA , na bila kupanda Madaraja,, ila bado mpo ngangali mnachapa kazi kama kawaida..

Pia niwaombe muongeze uvumilivu mara dufu,,kwani hata ile AHADI ya NITAONGEZA KABLA YA KUMALIZA MUDA WANGU tayari imepata kisingizio Rasmi. Ndio lazima itakua hoja na pengine ikaonekana na mashiko,, nazungumzia Covid 19. .. hiki ni kichaka kipya. Atajificha humo . ILA SWALI FIKIRISHI JE HIYO MIAKA 4, kulikuwa na Covid19?

Kwa Miaka yote ilitolewa SABABU ya kutekeleza miradi ya maendeleo,,kana kwamba nchi ndo imepata uhuru, KWANGU mimi niliona kama ni upuuzi, soo far Miaka ya nyuma Miradi kibao ilikuwa inaendelea na MISHAHARA na Madaraja vikipanda.... TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Usijali bado ana miaka mingine mitano. Acha tuu mwaka huu upite na hili janga la covid 19

Sent using my radio call over!!
 
Tunazipokea salamu zako kwa mikono miwili. Bado tunaendelea kuvumilia mapito yote tunayopitia.
 
ahsante mkuu kwaa kutukatisha tamaa watumishi mimi wamenipa flana lao na elfu kumi shubamit chama cha wafanyakazi
 
awamu hii wangetupa barakoa na sanitiza ,ma tshrt oversize tungepumzika
 
Back
Top Bottom