Salamu za mwaka mpya wana Arsenal Tanzania

Salamu za mwaka mpya wana Arsenal Tanzania

Sirm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
560
Reaction score
370
Kwa kupitia ukurasa wao wa Facebook timu ya arsenal kupitia mchezaji wao oxlade-chamberlin wanawatakia heri ya mwaka mpya!!
Cheers wana arsenal!
 
Arsenal itapendeza sana tuchukue na,ubingwa, happy new year
 
Hiyo siyo timu ya ushindani,ni ya buludani tuu.
 
Back
Top Bottom