Mimi ni mwanachama mpya - napenda kuwasalimia Wana Jamii Forums wote wakati huu wa Mwaka Mpya.
Binafsi huwa nafuatilia masuala ya kijamii, kisiasa na kimaendelo hapa kwetu Tanzania na ulimwenguni kwa ujumla.
Aidha, nimekuwa nasoma taarifa na mijadala kwenye Jamii Forum mara kwa mara - nakiri zimeniongezea ufahamu kwa kiasi kikubwa, hasa kujua mawazo na maoni ya wengine wenye nafasi na ujuzi mbalimbali. Pongezi waanzilishi, wanachana na wachangiaji wa 'Jamvi' hili.
Nami sasa napenda na naomba kuwa mwanachama na mchangiaji.
Nawasilisha!
Omwaiki