Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo, utu na umeliweka Taifa mbele.
Usitetereke lakini pia usijiinue bali subiri wakuinue. Hongera sana bwana mdogo umewafundisha vijana wa Kitanzania kwamba bado wapo watu wanaoweza kujisimamia.
Viva Mnyika Viva
Usitetereke lakini pia usijiinue bali subiri wakuinue. Hongera sana bwana mdogo umewafundisha vijana wa Kitanzania kwamba bado wapo watu wanaoweza kujisimamia.
Viva Mnyika Viva