Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Yupo vizuri sanaMnyika amesimamia uchaguzi huu kwa umakini mkubwa sana, huyu ni hazina aendelee kwenye hiko kiti.
Tatizo la Mnyika ni kutamka bungeni kuwa Dkt Kikwete ni rais dhaifu, it costs him dearly. Funzo kwa vijana tufanye kazi kwa heshima.Mwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo, utu na umeliweka Taifa mbele.
Usitetereke lakini pia usijiinue bali subiri wakuinue. Hongera sana bwana mdogo umewafundisha vijana wa Kitanzania kwamba bado wapo watu wanaoweza kujisimamia.
Viva Mnyika Viva
Kabisa MkuuMnyika amesimamia uchaguzi huu kwa umakini mkubwa sana, huyu ni hazina aendelee kwenye hiko kiti.
kwani uwongo?Tatizo la Mnyika ni kutamka bungeni kuwa Dkt Kikwete ni rais dhaifu, it costs him dearly. Funzo kwa vijana tufanye kazi kwa heshima.
Mwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo, utu na umeliweka Taifa mbele.πͺπΏππΏππΏMwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo, utu na umeliweka Taifa mbele.
Usitetereke lakini pia usijiinue bali subiri wakuinue. Hongera sana bwana mdogo umewafundisha vijana wa Kitanzania kwamba bado wapo watu wanaoweza kujisimamia.
Viva Mnyika Viva
Ila kwel ujue, huyu mwamba ni kama hayupo ila kwenye hili lazima Legacy yake iwe recognizedMwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo, utu na umeliweka Taifa mbele.
Usitetereke lakini pia usijiinue bali subiri wakuinue. Hongera sana bwana mdogo umewafundisha vijana wa Kitanzania kwamba bado wapo watu wanaoweza kujisimamia.
Viva Mnyika Viva
Kwahiyo kama aliona hivyo ulitaka akae kimya kisa kulinda ulaji sio?Tatizo la Mnyika ni kutamka bungeni kuwa Dkt Kikwete ni rais dhaifu, it costs him dearly. Funzo kwa vijana tufanye kazi kwa heshima.
Yuko korokoroni, huyu mzee alitaka kufanya spinning game Lissu anatwe na mandata akae ndani wakat wa uchaguz, akashtukiwa.Dkt Slaa Yuko wapi?
Sasa Lema mtamuweka wapi??Mnyika amesimamia uchaguzi huu kwa umakini mkubwa sana, huyu ni hazina aendelee kwenye hiko kiti.
Umeongea ukweli mtupu. Mungu ampe maisha marefu. Hii ni hazina kwa Taifa.Mwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo, utu na umeliweka Taifa mbele.
Usitetereke lakini pia usijiinue bali subiri wakuinue. Hongera sana bwana mdogo umewafundisha vijana wa Kitanzania kwamba bado wapo watu wanaoweza kujisimamia.
Viva Mnyika Viva