Salamu za Pongezi kwa Mshana Jr

Sizonje kazid soon tutamlipua ili tuone kama yeye ni Mungu mtu
 
Salamu zangu za pongezi ni kwa mkuu wa jumuiya ya wazazi ccm
kwa kumtaka kakobe ajitafakari
 
Ikiwa zimebaki siku chache kumaliza mwaka huu 2017 naomba nitoe pongez zangu kwa Mshana Jr ...

Kwa kuweza kutowa Elimu Kubwa iliyotujenga sisi wadau wa mambo ya Giza...

Big up mshana Jr[emoji109] [emoji109] [emoji109]
Asante sana sana[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] mada yako ndio naiona leo... Sijui nini kilitokea... Am humbled
 
Ikiwa zimebaki siku chache kumaliza mwaka huu 2017 naomba nitoe pongez zangu kwa Mshana Jr ...

Kwa kuweza kutowa Elimu Kubwa iliyotujenga sisi wadau wa mambo ya Giza...

Big up mshana Jr[emoji109] [emoji109] [emoji109]
Hivi kumbe na Ww mchawi? Sasa Kwanini umeshindwa kumroga Yule mke wq police aliekuletea papuchi nyumbani kwa mama akaanza kumponda mkeo kuwa Ana sura mbaya?
 
Mimi natoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki nchini kwa kuamua kutoendelea na ukimya wa kuhusu UdU wa kutisha nchini unaofanywa na huyu DU katika kuminya uhuru wa vyombo vya habari nchini, uhuru wa Watanzania kujadili mustakabali wa nchi na pia kuikosoa Serikali na hii tabia ya kuteka, kutesa na hata kuua Watanzania wasio na hatia.

Muendeleee na sauti yenu hivyo hivyo waumini na wasio waumini nchini wanawaunga mkono na kufurahia sana kauli zenu dhidi ya Serikali hii dhalimu.

Hivi kumbe na Ww mchawi? Sasa Kwanini umeshindwa kumroga Yule mke wq police aliekuletea papuchi nyumbani kwa mama akaanza kumponda mkeo kuwa Ana sura mbaya?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
That move BAK is a mile stone ordeal... A step ahead to........
 
Mimi sio mchawi mkuu...alafu na mshana Jr sio mchawi isipokuwa anatoa mada heavy.
Hahaha jokes mkuu, ila Hebu Sema ukweli huku Tupo watu wazima, Yule mke wa police hukumla kweli pale kwa mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…