Salamu za Pongezi kwa Mshana Jr

Nashukuru tena kwakuwa mwaka mwingine unaisha[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ikiwa zimebaki siku chache kumaliza mwaka huu 2017 naomba nitoe pongez zangu kwa Mshana Jr ...

Kwa kuweza kutowa Elimu Kubwa iliyotujenga sisi wadau wa mambo ya Giza...

Big up mshana Jr[emoji109] [emoji109] [emoji109]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…