Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni tuhuma za uongo. OVASema “...aliyeko gerezani kwa tuhuma za ugaidi...” (sio kwa “...kwa tuhuma za uongo...”)! Amemuongopea nani, labda?
Ni tuhuma za uongo. OVA
Wewe jiulize hao Polisi wanaodai kuwa upelelezi wameshaukamilisha, ni kitu gani kinachowafanya wapate "mchecheto" kila kesi inapokuja mahakamani, watoe visingizio vya kitoto ili tu wacheleweshe kusikiliza kesi hiyo??
Kenya umeipendea kitu gani mkuu, labda mahakama yake?Ka inchi kichafu haka...
Nchi zote zilizokuwa mstari wa mbele kwenye ukombozi wa africa, zimebadilika na kuendelea mbele, Zambia, Mozambique, Kenya , Ethiopia, Nigeria, Ghana......
Lakini hiki ki inchi ni elimu ya kipuuzi inayofundishwa kutoa mizwazwa isiojielewa
, ni ujasiri wa kujaribu, hata Zanzibar wanajaribu kutuonyesha ujasiri , lakini TZ imejaa mifisi tu................