Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mimi sikukubali ila nakupenda sana.Hi to you too,dear!Leo ni weekend nani unampa salamu ili aenjoy weekend yake kutokana na maneno mazuri uliompa .
Mimi nawapa wote salamu wale wanaonikubali.
Weekend njema na ufurahie pia
Ukitaka upendwe kuwa heshima nakujua kuwahandle wanawake kuna njia ukiijua ni raha sana .Wengine ni siku nyingine ya kukumbatia mto...
NB..MWANAUME HUSIPOKUWA NA HELA WEW SIO MTU...IN MADEMU'S VOICE
Sio kweli...mimi kuna mmoja nilionyesha kumjali akawa ananiita mshamba😂😂.......na mimi nikapiga chini mpaka leo huwa anajiuliza mwizukulu mgikuru huwa ana matatizo gani kichwaniUkitaka upendwe kuwa heshima nakujua kuwahandle wanawake kuna njia ukiijua ni raha sana .
Wanawake hawapendi hela hujajua tu wanapenda kampani na kumjali namatani na kumuona yeye ni rafiki yako so ukifanya hivyoo huwi mpweke
Kuna staili zetu hujamjulia tu mwanamke yeyote atapenda vitu vizuri ila akishampata mtu tu naanajua yupo naye tosha hujui tuSio kweli...mimi kuna mmoja nilionyesha kumjali akawa ananiita mshamba😂😂.......na mimi nikapiga chini mpaka leo huwa anajiuliza mwizukulu mgikuru huwa ana matatizo gani kichwani
Nimepokea salam kwa moyo wa shukurani maana nakukubali sana sana.Leo ni weekend nani unampa salamu ili aenjoy weekend yake kutokana na maneno mazuri uliompa .
Mimi nawapa wote salamu wale wanaonikubali.
Weekend njema na ufurahie pia
Hahaha wanawake hawa hawa ambao haija julikana hitaji lao nini vizazi na vizazi?Ukitaka upendwe kuwa heshima nakujua kuwahandle wanawake kuna njia ukiijua ni raha sana .
Wanawake hawapendi hela hujajua tu wanapenda kampani na kumjali namatani na kumuona yeye ni rafiki yako so ukifanya hivyoo huwi mpweke
Utawaita mashemeji watakuita shosti.Ukitaka upendwe kuwa heshima nakujua kuwahandle wanawake kuna njia ukiijua ni raha sana .
Wanawake hawapendi hela hujajua tu wanapenda kampani na kumjali namatani na kumuona yeye ni rafiki yako so ukifanya hivyoo huwi mpweke
We love you❤️🙏Nawasalimu walimu wote na kuwakumbusha kuwa hii ni weekend fupi kwa kuwa jumatatu ni kazini