wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
*Nawasalimia[emoji68]Wasichana[emoji68] wale mnao Google chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*
*Nawasalimia WASICHANA weupe[emoji68] mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*
*Nawasalimia WASICHANA Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano[emoji106][emoji108] P, K, O, S!!* *Nakaribia KUOA,*
*Nawasalimia WASICHANA wale wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha chating wanakuuliza wewe NANI[emoji23][emoji23][emoji23]*
*mimi ni nyani kutoka mikumi,*
*Nawasalimia WASICHANA ambao ukiaatongoza wanakupa majibu ya SHIT ila ukipost picha ya demu wanawake foleni [emoji392] inbox kuuliza huyo nani,*
*Nawasalimia WASICHANA wale wanaopost picha ukiccoment Anareply ukimfata [emoji392] inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama umeme wa LUKU hamjambo jamani*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Nawasalimia wale WASICHANA nilio watongoza mkanikubalia na mkaniomba HELA hapo hapo[emoji23][emoji23][emoji23] Tumeachana[emoji23] Niwaambie SICHUNIKI,*
*Nawasalimia wale WASICHANA wazuri mpaka naogopa kuwafata [emoji392] inobx nabaki na kula kwa macho NAWAPENDA JAMANI*[emoji14][emoji14][emoji12][emoji12]
*Nawasalimja wale WASICHANA Tunao chuniana MITANDAONI ila tukikutana MTAANI mnaniita ita kama mnanijua PLEASE[emoji23][emoji23][emoji23] NIPENI BREAK,*
*Nawasalimia WASICHANA Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje ya wauza papa, salamu ziwafokie*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Nawasalimia wale WASICHANA munaosema ni hali ya kuwa mkiombwa no za simu mnatoa, KARIBUNI CHAI*[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]
*Nawasalimia wale WASICHANA nilio watongoza MTANDAONI nampka sasa tunaitana honey Ila HATUJUANI*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Nawasalimia wale WASICHANA Wotee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesemea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM NAWAKUMBUSBA MUNGU ANAWAONA*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Nawasalimia wale WASICHANA ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu* *kwa KISWAHILI[emoji23][emoji23] Muoneni*
*Ras simba*
*Nawasalimia Wale WASICHANA wanao post picha NZURI ila hawataki kutongozwa UMEPOST YA NINI*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Nawasalimia wale WASICHANA mnaojita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe,sikujua,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] havinitishi WAZAZI WENU WANAWATAFUTA*
*Nawasalimu WASICHANA Mnao TONGOZWA Mtandaoni kisha mnasema mtumiwe NAULI, Badilisheni mbinu VYUMA VIMEKAZA*!!