Salamu ziwafikie

hao ndio uliokuwa unawakumbuka ulivyo kuwa "jela" hahahahaha, karibu tena barazani baada ya kumaliza kifungo chako cha siku kadhaa
 
asante mjomba pole na kifungo tulikumiss
 
Hili nalijua hasa mtu anapokukuta Upo Uchi halafu anasema hata sijakuona! Kwa watu wenye Visasi kama Mimi ndo nakuandalia adhabu yako ambayo hautaisahau.

Hakuna visasi,visasi na chuki tumuachie Mkullu siye tujenge hoja kwa hoja kukosoana na si kutukanana.Taifa letu sote hili
 
asante mjomba nashukuru sana jomba miss u ila usituchungulie tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…