Salamu

Salamu

Karibu sana JF kwa Great Thinkers.

Sasa ili ukamilishe utambulisho wako inabidi uweke wazi.
-Mawasiliano yako
-Makazi
Ili viweze kuingizwa kwenye kumbukumbu za uanachama wa JamiiForums.
 
Japo filters zimefanya kazi ila nimependa mazingira hayo. Ni mkoa gani huo
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
 
[emoji3516]
HAPA NDIPO MODS WANAPONIBOA ,

KWA NINI PICHA YA MEMBA IONDOLEWE KABLA SIJAIONA?

MODS MSITAFUTE BIFU ZA WAZI,
RUDISHENI PICHA TAFADHALI!!!

AU MNASEMAJE MODS.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom