Johari msabila
Member
- Nov 5, 2019
- 11
- 10
Mkuu unapeleka mtu chaka.Karibu sana JF kwa Great Thinkers.
Sasa ili ukamilishe utambulisho wako inabidi uweke wazi.
-Mawasiliano yako
-Makazi
Ili viweze kuingizwa kwenye kumbukumbu za uanachama wa JamiiForums.
Si tunamkaribisha tuliko..!!?? Tupo chaka aje tuliko
Picha iko wapi boss?Ooh! Wow
Karibu johari, Vipi upo single au
in relationship
Nb:- nimependa pozi lako
Na mazingira uliopigia picha
My eksi umechelewa picha imefichwa/imetolewa na ModPicha iko wapi boss?
Daa! Wameitoa sijui yeye au nyie mod ilikuaPicha iko wapi boss?
Dah nimehangaika ku reload nikajua net inazingua ndio maana sioni picha 😂😂Daa! Wameitoa sijui yeye au nyie mod ilikua
Motroo
namba na kapicha basi.Mimi naitwa Johari msabila nimefurahi kuwa moja went katika jamii forum