Salamu!

Huku umeingia kijiwe cha wahuni, sasa pita pale nyoosha kule alafu pita kulia hatua tatu kata kushoto utakuta mlango umeandikwa jukwaa la "Utambulisho (Member Intro Forum)" humo ndio sehemu ya kujitambulisha.

Otherwise welcome to the gang.
 
Karibu katika ulimwengu wa matajiri. Huku kila mtu tajiri. Chukua yanayokufaa mengine humu achana nayo. Watu wanafix na kuigiza sana maisha humu.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Karibu sana humu kila mtu ni msomi ana gari pia ana nyumba kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…