Salamu

tulichezeana bana

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!! muuliza swali jibu ndo hilo ulotaka

una hela ww?c unajua hapendi mtu?alau kwnn unataka Twin ndo aje kunambia?ww domo zege?haya one mo chance mwaga sera zako fasta

/QUOTE]

pesa mbele maloveeeeeeeeeeee later............
 
Lol kumbe na wewe yule mzungu poli unamchuna hahahaha hakuna mapenzi hapo lol
muulize
pale kwa msukuma mapenzi mbele............................
heheeeee am madly in love with my msukuma........
 
Hahahaha sema umempendea ng'ombe wake hakuna cha love wala nn.
 
Fidel hana hata ng'ombe nampenda kumoyo tu jamani
he is just too smart man......we acha tu
imagine nakumbamba kote juzi lakini walaaaaaaa!!!! we are back to love...
 
Twinuska true love is in novels and movies only,true love is like agost only few pple c it
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!! muuliza swali jibu ndo hilo ulotaka

pesa mbele maloveeeeeeeeeeee later............
 
imagine nakumbamba kote juzi lakini walaaaaaaa!!!! we are back to love...

Kama umembamba juzi basi wewe hakupendi njoo kwangu upate barafu ya moyo.
 
kwani kakwambia anataka barafu huyu?mwenzio anacheza na vya motooooooooo,ni microvawe tu bana

ndugu zake walikuwa wanajaribu kumshawishi.......
kwako siji ng'ooooooooooooooooooooooooo
ntakusemea kwa Iribini unanininiiiiiiiiiiiiiii.............
 
Yeah anahitaji kumpunzishwa ndani ya moyo wangu atulie kama maji ya mtungi.
Huyo mzungu poli anamnyasa nyasa juzi kamfumania kesho atasikia jingine.
 
straight from the fire sweety!!!!! tell him.....
 
Yeah anahitaji kumpunzishwa ndani ya moyo wangu atulie kama maji ya mtungi.
Huyo mzungu poli anamnyasa nyasa juzi kamfumania kesho atasikia jingine.

afu mpwa tuhishimiane basi tabia gani hiyo ya kumpa majina shemeji yako.........???
 
kwako siji ng'ooooooooooooooooooooooooo.....

Usiogope baby mm siku hizi nakula paja la samaki tu hata Masanilo analijua hilo?

ntakusemea kwa Iribini unanininiiiiiiiiiiiiiii.............

Utanisemea aniloge kwenye valuu nipaliwe au ndie atakaye pokea posa?
 
ndugu zake walikuwa wanajaribu kumshawishi.......
kwako siji ng'ooooooooooooooooooooooooo
ntakusemea kwa Iribini unanininiiiiiiiiiiiiiii.............

Napiga tizi hapa!
Wamekufanya nini mamushka nikuje nimeshameza kabisa ile dawa yetu?
 
afu mpwa tuhishimiane basi tabia gani hiyo ya kumpa majina shemeji yako.........???

Haya nitakuwa namwita mme mwenza au nakosea napo?
Ulisema mzungu kumbe ni Mzungu wa usukumani kule kwa shemeji zangu.
 
Napiga tizi hapa!
Wamekufanya nini mamushka nikuje nimeshameza kabisa ile dawa yetu?

plz take the supu kabisa then come and finish this Fide here mi staki uchokozi yeye ananilazimisha............
 
Mnanifurahisha sana Wapwazz na BInamuzz ndo maana nawapenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…