Salamu

Salamu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Napenda kuwasalimia wote humu ndani, nafikiri nitakaribishwa vizuri tu. Pia vilevile sijachelewa kuingia.
 
Karibu mkuu treni ndio kwanza o Kilosa! ila mambo yetu utakayoyakuta humu ndani uyabakize humuhumu!! ur most welcome Mwanamayu...........
 
mwanamayu karibu sana...unatumia kumbikumbi?
 
wewe ni ngosha kutoka Shy? kule Mwanza au Tabora???

karibu!
 
Back
Top Bottom