Salary scale ya Tanzania Railways Corporation (TRC)

Salary scale ya Tanzania Railways Corporation (TRC)

Kitumburee

Senior Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
142
Reaction score
88
Nawasalimu wanajamvi.

Naomba kujuzwa anaefahamu kiwango cha salary scale hii
TRCS 5 ni shilingi ngapi
 
Ila kiukweli kuna watu nawafaham walipakimbia huku miaka flani na kufata tempo za tanesco nahsi ni 700-800 haizid hapo net salary
 
Mpaka mwaka huu mwezi watano kabla hawajapandisha mishahara , ilikuwa diploma 460,000 degree 800,000 hakuna overtime
Inasikitisha sana,shirika kubwa kama lile inakuwaje ivyo
 
Unachekesha xanaa ukubwaa UPI bro? Kusafrish abiria kwendakigoma ndoukubwaa au manawotee tunajua mizigo ilikuwaga inasafirishwa na malor
Sasaivi trc sio ile ya zamani,kama umeshachunguza sasaivi wanasafirisha hadi makontena kwenda mikoani kama huamini nenda pale Tazara kuna yadi wamepanga makontena
 
Sasaivi trc sio ile ya zamani,kama umeshachunguza sasaivi wanasafirisha hadi makontena kwenda mikoani kama huamini nenda pale Tazara kuna yadi wamepanga makontena
Sahihi kabisa TRC Sasa hivi mpaka mafuta yanasafirishwa toka Tanga, cement na mizigo kibao ila si TRC ya miaka mi 4 iliyopita nikikumbuka sina hamu. Mishahara ya tarehe 41
 
Unachekesha xanaa ukubwaa UPI bro? Kusafrish abiria kwendakigoma ndoukubwaa au manawotee tunajua mizigo ilikuwaga inasafirishwa na malor
Hivi unajua kuwa trc zamani ilikuwa ndiyo mlipaji bora kabisa hapa nchini kama walivyo leo akina Tcra et al?
 
Back
Top Bottom