Salary scale ya Tanzania Railways Corporation (TRC)

Trc miaka yote mafuta na makontena wanasafirisha. Kwa msiojua ndo mmeanza ona leo labda kuwa wanasafirisha. Tangu nikiwa mdogo trc wanasafirisha mafuta, mazao, makontena ya mizogo. Bakhresa ana kontena zake kbs spesho pale trc miaka nenda rudi
Uwe na uhakika na unayoandika. Awali wakati wa TRC ile ni kweli TRC ilisafirisha mifugo katika CWB, mafuta katika PTB na hizo Container Carrier pia kulikuwa na mpaka na mabehewa ya kusafirishia minofu ya samaki.

Baada ya kubinafsisha kwa Wahindi (RITES) mambo yalienda yanabadilika na baadae kuwa mabaya.

Baada ya TRC kurudishwa tena serekalini ndiyo yameanza tena japo si kwa kiwango hicho. Mi sijakataa kama hapo awali walisafirisha ila kipindi cha katikati hali ilikuwa mbaya na zilibaki locomotives 5 tu 88 class hayo mafuta utasafirisha wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…