Hapa ndio mkeka utachanika tena kwenye mechi ya mwishoTunawasaubiri bodi watoe deni lao halisi mwezi huu bila VRF!
Lazima utaje chama?Serikali sikivu ya CCM 🚶
Serikali iliyopo madarakani inatokana na chama tajwaLazima utaje chama?
Serikali sikivu ya watanzania ndani yake kuna Queen Sendiga mkuu wa mkoa Iringa
Ukienda ofisini kwao wanakupa ni kweli VRF imetolewa ya mwezi huu ila VRF ya mwezi wa nne,tarehe 30+ penalt wamegoma kuzifuta kwa utaratibu wanaojua wao.Tunawasaubiri bodi watoe deni lao halisi mwezi huu bila VRF!
Wananze kugoma wakati VRF ilikuja 2013, na kabla ya hapo hakukuwa na VRF!Ukienda ofisini kwao wanakupa ni kweli VRF imetolewa ya mwezi huu ila VRF ya mwezi wa nne,tarehe 30+ penalt wamegoma kuzifuta kwa utaratibu wanaojua wao.
Mwezi Julai watu wajiandae tu maana kuna makundi mawiliTunawasaubiri bodi watoe deni lao halisi mwezi huu bila VRF!