Salary ya bio medical eqp eng&technician

Salary ya bio medical eqp eng&technician

Ni ngumu sana kujua salary yake kwa hapa Tz but abroad the annual salary was $47,000

na 1 US dollar = 1638 Tsh

sasa fanya 1638 x 47,000 =Billion kadhaa kwa mwaka! Na hiyo ilikuwa mwaka 2012 sahz itakuwa imepanda tena

Ila kwa hapa Tz mi sijui!
Afu acha kufanya spamming!
 
Back
Top Bottom