Kwa wakazi waliozaliwa hii kata salawe-shinyanga ,naombeni sifa za wakazi wa salawe nmehamia huku kiutafutaji. Cha kwanza nianze kijifunza lugha ya salamu (kisukuma) .
Siku ukiamua kuja Shinyanga mjini uamuzi ni wako kama utapanda Fast Jet, Hokkas Class au hiace ya Joshua Express. Ukishuka hapo stendi ya zamani utanikuta mdau wa JF
Nasikia kume hila huko..piga kazi..ila heshimu watu wasalimie acha kujifanya wa mjini..hakikisha hutongozi mabinti pia wake za watu...mengine sali sanaYesu akuongoze.