Proud Patriot
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 224
- 11
Get a BOXED BRAND NEW Android Phone at BUDGET PRICE;
Introducing Gowin M7 At 180,000/= (Nunua kabla hizisambaa town,price might double, :glasses-nerdy🙂
Whatsapp,insta,viber,tango,BBM,chrome nakuachia wewe..
COMES WITH;
Leather Flip Cover, Charger, Screen Protector and Earfones.
Features;
* Android OS 4.2.2 *Long lasting Battery (16hrs)
*Kioo ng'aavu Wide screen (5in) *Big internal memo (4Gb)
*Camera 5MP
Mikoani pia mzigo unatumwa, Contact; 0712-198-128. **Deliveries available for serious buyers**

Mzee nimecheka kweli. Kwa style yako hii mzee.....ShikamooSioni tija ya kumiliki smart phones. Features zilizoongezeka ni za kawaida sana; they are too ordinary to convince me. Huwa napenda kuwatanguliza 'vyambo' nione what's new, lakini tangu jamaa yangu mmoja anunue smart phones, anachoenjoy yeye ni whatsapp kwa ku.share picha na clips za ajabu ajabu hivi, jambo ambalo kwenye PC unaweza kulipata bila taabu! Niliwahi kumuuliza; kuna kitu gani kipya? Akasema whatsapp, nikamuonyesha PC version, akasema e-mail nikamuonyesha kwenye simu yangu isiyo smart phone, akasema camera nikamtolea camera yangu yenye pixels za kumwaga, akasema GPS nikamuonyesha ktk PC yangu, na kuongezea nikamfungulia google earth hadi nyumba ya kijijini kwao. Kwa ufupi, kama ofisini unashinda kwenye PC, na nyumbani una PC, kununua smartphone ni mbwembwe tu za mobility!
Sioni tija ya kumiliki smart phones. Features zilizoongezeka ni za kawaida sana; they are too ordinary to convince me. Huwa napenda kuwatanguliza 'vyambo' nione what's new, lakini tangu jamaa yangu mmoja anunue smart phones, anachoenjoy yeye ni whatsapp kwa ku.share picha na clips za ajabu ajabu hivi, jambo ambalo kwenye PC unaweza kulipata bila taabu! Niliwahi kumuuliza; kuna kitu gani kipya? Akasema whatsapp, nikamuonyesha PC version, akasema e-mail nikamuonyesha kwenye simu yangu isiyo smart phone, akasema camera nikamtolea camera yangu yenye pixels za kumwaga, akasema GPS nikamuonyesha ktk PC yangu, na kuongezea nikamfungulia google earth hadi nyumba ya kijijini kwao. Kwa ufupi, kama ofisini unashinda kwenye PC, na nyumbani una PC, kununua smartphone ni mbwembwe tu za mobility!
Mkuu, kwani skype haipo kwenye PC?... Si ajabu bado unapiga simu nje/ndani ya nchi kwa kulipia wakati watu tunapiga free.
Muda wote upi ambao una mahitaji ya dharura ya kusoma gazeti? Mimi nijuavyo gazeti linasomwa mara moja kwa siku, sioni haja ya kulirudiarudia!Smart phones zinasaidia sana upatikanaji wa habari, Siku hizi hata sina muda wa kununua magazeti nikihitaji habari ninaipata katika mtandao mda wote siyo mpaka niwe ofisini au nyumbani nimekumbatia laptop.
Mkuu, kwani skype haipo kwenye PC?
Muda wote upi ambao una mahitaji ya dharura ya kusoma gazeti? Mimi nijuavyo gazeti linasomwa mara moja kwa siku, sioni haja ya kulirudiarudia!
Hizo e-mail unazopokea instantly ukiwa haupo ofisini au nyumbani (mfano kwenye baa), unazifanyia kazi mara moja? Umetumiwa e-mail instantly ukiwa kwenye baa ikikutaka utume softcopy ya business license yako let's say, utaiscan wapi katika standard format? Hautarudi ofisini au home?Kwa hiyo hiyo simu yako unapokea emails instantly?
Hizo e-mail unazopokea instantly ukiwa haupo ofisini au nyumbani (mfano kwenye baa), unazifanyia kazi mara moja? Umetumiwa e-mail instantly ukiwa kwenye baa ikikutaka utume softcopy ya business license yako let's say, utaiscan wapi katika standard format? Hautarudi ofisini au home?