SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
Gari ipo wapi mkuu...
Ndugu hii Nissan yako bado ipo?tatizo gari lako unauza likiwa na Kadi tu,File hauna sasa hiyo ni changamoto!Mimi nilikuja na cash mkononi mpaka Kimara ili ninunue gari hili,nakuuliza File la gari liko wapi unanipa Kadi tu unasema File mpaka ukatafute nyumbani,tukalubaliana siku ya pili ukilipata unijulishe nije kulipia umeingia mitini wiki ya pili sasa!!!