Saleh Jembe Amtaka Manara Ajiepushe na Marafiki Wanafiki

nyehura

Member
Joined
Jun 4, 2022
Posts
6
Reaction score
15
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya kufungiwa miaka miwili kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shilingi milioni 20.

Akifanya mahojiano maalum na mwandishi wa habari wa Global TV, Jembe amenukuliwa akisema:

“Mimi natakuwa tofauti na rafiki zake wengine wote, natakakuwa tofauti na rafiki zake especially rafiki zake wanafiki rafiki ambao badala ya kumuambia kitu sahihi cha kufanya wanazidi kumpoteza zaidi kwa kufuata masuala ya kishabiki kwasababu tunaona kweli Haji amekosea na kama amekosea imefikia hatua Haji amehukumiwa hatuwezi kuwa watu wazuri kama tutakuwa tunafurahia kuhukimiwa kwa Haji badala yake tunatakiwa kuwa watu ambao tunatakiwa kumueleza ukweli.”

Aidha Jembe amemtahadharisha Manara kuhusu kutaka kushindana Mamlaka ya soka nchini kwani kwa kufanya hivyo hawezoi kufanikiwa kwa lolote na hakutakuwa na manufaa au afya kwa maendeleo ya soka nchini.

Jembe amemshauri Manara kujitathmini na kuzingatia maelekezo ya Mmlaka ya soka kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kutengeneza mazingira yay eye kuja kusamehewa baadaye kwani tayari kuna ushahidi wa watu wengi ambao walishawahi kufungiwa na baada ya kuonesha mwenendo mzuri wakafunguliwa vifungo vyao na mmoja wapo ni aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Fredrick Mwakalebela.
 
Ni ushauri mzuri sana,ila kwa mtu kama Haji Manara na wapambe wake ni sawa kuwalisha kuku vipande vya almasi badala ya kuwalisha mtama
 
Mbona ni ngumu sana hiyo

Yani haji ajiepushe na Manara, haiwezekani
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
Acha kufananisha goli la CAF na uchafu wakina Mpole wewe msukule wa zungu pori
 
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya kufungiwa miaka miwili kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shilingi milioni 20.

Akifanya mahojiano maalum na mwandishi wa habari wa Global TV, Jembe amenukuliwa akisema:

“Mimi natakuwa tofauti na rafiki zake wengine wote, natakakuwa tofauti na rafiki zake especially rafiki zake wanafiki rafiki ambao badala ya kumuambia kitu sahihi cha kufanya wanazidi kumpoteza zaidi kwa kufuata masuala ya kishabiki kwasababu tunaona kweli Haji amekosea na kama amekosea imefikia hatua Haji amehukumiwa hatuwezi kuwa watu wazuri kama tutakuwa tunafurahia kuhukimiwa kwa Haji badala yake tunatakiwa kuwa watu ambao tunatakiwa kumueleza ukweli.”

Aidha Jembe amemtahadharisha Manara kuhusu kutaka kushindana Mamlaka ya soka nchini kwani kwa kufanya hivyo hawezoi kufanikiwa kwa lolote na hakutakuwa na manufaa au afya kwa maendeleo ya soka nchini.

Jembe amemshauri Manara kujitathmini na kuzingatia maelekezo ya Mmlaka ya soka kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kutengeneza mazingira yay eye kuja kusamehewa baadaye kwani tayari kuna ushahidi wa watu wengi ambao walishawahi kufungiwa na baada ya kuonesha mwenendo mzuri wakafunguliwa vifungo vyao na mmoja wapo ni aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Fredrick Mwakalebela.
Kwanza ile kamati imekosea sanaa
Yaan ile 20M.wangefuta ikadoma 3M ila kifungo kingekuwa walau cha miaka 10 yaan mpaka mama akiyoka madarakani na yy ndio anarudi ktk mambo ya soka
 
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya kufungiwa miaka miwili kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shilingi milioni 20.

Akifanya mahojiano maalum na mwandishi wa habari wa Global TV, Jembe amenukuliwa akisema:

“Mimi natakuwa tofauti na rafiki zake wengine wote, natakakuwa tofauti na rafiki zake especially rafiki zake wanafiki rafiki ambao badala ya kumuambia kitu sahihi cha kufanya wanazidi kumpoteza zaidi kwa kufuata masuala ya kishabiki kwasababu tunaona kweli Haji amekosea na kama amekosea imefikia hatua Haji amehukumiwa hatuwezi kuwa watu wazuri kama tutakuwa tunafurahia kuhukimiwa kwa Haji badala yake tunatakiwa kuwa watu ambao tunatakiwa kumueleza ukweli.”

Aidha Jembe amemtahadharisha Manara kuhusu kutaka kushindana Mamlaka ya soka nchini kwani kwa kufanya hivyo hawezoi kufanikiwa kwa lolote na hakutakuwa na manufaa au afya kwa maendeleo ya soka nchini.

Jembe amemshauri Manara kujitathmini na kuzingatia maelekezo ya Mmlaka ya soka kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kutengeneza mazingira yay eye kuja kusamehewa baadaye kwani tayari kuna ushahidi wa watu wengi ambao walishawahi kufungiwa na baada ya kuonesha mwenendo mzuri wakafunguliwa vifungo vyao na mmoja wapo ni aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Fredrick Mwakalebela.
marafiki wanafiki wa manara[emoji116][emoji116][emoji116]
giphy.gif
 
Huyo nyumba ndogo ya mo, akamshauri bwana yake, siyo kushobokea wanaume ,shoga huyo
 
Kwani wewe umeacha lini kuingiliwa kinyume cha maumbile? Au nikurushie video zako wakati unafokolewa?
 
Sasa watu kama kina kitenge,bumbuli waandishi na wachambuzi uchwara wanampa kichwa ajitutumue ile waone failure yake wakati wengi wa hao marafiki wanatamani hiyo nafasi yake.

Alimfanyia Nugaz figisu akatoka hapo ,hatuwezi jua "what goes around comes around".

Hata akiwa Simba alitaka awe juu ya kila mtu ,matusi kwa Babra na matisho,itafika mda hata hao GSM siku wakitoka atawaponda maana yeye ni mtu wa kusoma upepo unaenda wapi.
 
Ushauri wa kijinga sana, manara ni mkubwa sana kwenye soka la bongo narudia tena TFF hawana la kumfanya, ataendela kufanya kazi za soccer na tuone kama watafanya lolote
Hata sisi Yanga hatutaki kufanya naye kazi akiwa amefungiwa, labda afanye kazi za kama msemaji wa kujitegemea
 
Back
Top Bottom