Saleh Jembe na Edo Kumwembe mpira mnaujua

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
napenda niwape pongezi waandishi wa michezo kwa kuchambua vizuri makosa na uchezaji wa mpira wa miguu hasa mechi ya simba na yanga.
kuhusu makapu anayesema alishindwa kucheza anamtindio wa ubongo fatilieni vizuri alivyomchambua waandishi mahili kwa jinsi alivyocheza saidi makapu alicheza vizuri sanaaaa kweli yanga wamepata kiungo mkabaji
 
Said Makapu yule dogo anatisha, game na simba Niyonzima alimwangusha pale kati lakin hata hivyo dogo alipiga kaz ya maana sana.
Hata pale Niyonzima alipopata kadi nyekundu dogo aliweza kumudu kisawa sawa pale kati..
Hongera Makapu kaza buti....
Daima mbele nyuma mwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…