Sales Alert: Nauza kwa dharura Kiwanja Kilichopimwa chenye Title Deed

Sales Alert: Nauza kwa dharura Kiwanja Kilichopimwa chenye Title Deed

Joined
May 25, 2017
Posts
12
Reaction score
3
Nauza kwa dharura kiwanja kilichopimwa chenye Title Deed chini ya Market Price.
Plot ipo maeneo ya Kigamboni mita chache kutoka majengo ya mradi wa maghorofa ya NSSF. Ukubwa wa hiyo plot ni mita za mraba 772, na bei sokoni kwa sasa ni kati ya tsh 15M hadi 22M, ila kwa dharura/shida niliyo nayo nimeshuka hadi tsh 13M bila ya kuwepo mtu wa kati, aka Dalali.
 
hela ipo ila usilete ujanja ujanja weka bei hadharani watu tuione..

mambo ya gizani kutapeliana na ikiwezekana title number pia iweke tuikague ardhi tujilizishe
 
Yaaan uende pm ndo uanze kuambiwa kiwanja kiko mkoa gan? Au kwa sababu ina hati sasa haijalishi sehemu.....una hamu na kuchart wewe sio bure
 
Dahh nimeshtuka!! Baada ya kusoma heading ya uzi vibaya "Sales Alert: Nauza kwa dharau Kiwanja Kilichopimwa..."
 
Nauza kwa dharura kiwanja kilichopimwa chenye Title Deed chini ya Market Price, mwenye cash money isiyo na figisu-figisu ni-PM nikupe full details.
Kwa makosa haya utachelewa kuuza, fanya editing;
1-eleza ukubwa wa kiwanja
2- kipo mkoa gani
3- au wilaya gani
4- bainisha unafuu wake
Na mengineyo, tangazo lazima lijitosheleze...ntakujaje pm halafu uniambie kiwanja kipo maneromango Kisarawe?
 
Huyu kwani ni Taperi? anauza chake and then anajificha... ?
 
hela ipo ila usilete ujanja ujanja weka bei hadharani watu tuione..

mambo ya gizani kutapeliana na ikiwezekana title number pia iweke tuikague ardhi tujilizishe
Haya mambo sasa hadharani, hamna kujificha wala nini ila sikutaka madalali wa-take advantage ya kuweka cha juu na kumuumiza mnunuzi.
Plot ipo maeneo ya Kigamboni mita chache kutoka majengo ya mradi wa maghorofa ya NSSF. Ukubwa wa hiyo plot ni mita za mraba 772, na bei sokoni kwa sasa ni kati ya tsh 15M hadi 22M, ila kwa dharura/shida niliyo nayo nimeshuka hadi tsh 13M bila ya kuwepo mtu wa kati, aka Dalali.
 
Kw
Hapa kuna mtu anavutwa akapigwe
Kwahali ilivyo tete atakaepigwa ni boya. Ila aweke detail za kutosha wapo watakao jitosa afuate ushauri aliopewa hapo juu.
Aweke KILA kitu hadhazari.
 
hela ipo ila usilete ujanja ujanja weka bei hadharani watu tuione..

mambo ya gizani kutapeliana na ikiwezekana title number pia iweke tuikague ardhi tujilizishe
Bei tayari nimeweka na kama kawaida ya biashara ya ardhi ilivyo, mazungumzo (bargaining) pia rukhsa.
 
Kwa makosa haya utachelewa kuuza, fanya editing;
1-eleza ukubwa wa kiwanja
2- kipo mkoa gani
3- au wilaya gani
4- bainisha unafuu wake
Na mengineyo, tangazo lazima lijitosheleze...ntakujaje pm halafu uniambie kiwanja kipo maneromango Kisarawe?
1-ukubwa wa kiwanja: 772sqm
2- kipo mkoa gani: DSM
3- au wilaya gani: Kigamboni
4- bainisha unafuu wake: bei ni nafuu kulinganisha na hali ya soko ilivyo, Tsh.13M only.
 
Natoa punguzo la asilimia kumi (10%), kwa mteja aliye tayari naomba ajitokeze tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom