Tanzania Salesman
Member
- May 25, 2017
- 12
- 3
Kwa makosa haya utachelewa kuuza, fanya editing;Nauza kwa dharura kiwanja kilichopimwa chenye Title Deed chini ya Market Price, mwenye cash money isiyo na figisu-figisu ni-PM nikupe full details.
Haya mambo sasa hadharani, hamna kujificha wala nini ila sikutaka madalali wa-take advantage ya kuweka cha juu na kumuumiza mnunuzi.hela ipo ila usilete ujanja ujanja weka bei hadharani watu tuione..
mambo ya gizani kutapeliana na ikiwezekana title number pia iweke tuikague ardhi tujilizishe
Kwahali ilivyo tete atakaepigwa ni boya. Ila aweke detail za kutosha wapo watakao jitosa afuate ushauri aliopewa hapo juu.Hapa kuna mtu anavutwa akapigwe
Ulijua muswadaDahh nimeshtuka!! Baada ya kusoma heading ya uzi vibaya "Sales Alert: Nauza kwa dharau Kiwanja Kilichopimwa..."
Ni mwenye hati sio dalali, yaani unapatana na mimi bila kupitia kwa dalali.Mhh wewe si dalali wewe?
Bei tayari nimeweka na kama kawaida ya biashara ya ardhi ilivyo, mazungumzo (bargaining) pia rukhsa.hela ipo ila usilete ujanja ujanja weka bei hadharani watu tuione..
mambo ya gizani kutapeliana na ikiwezekana title number pia iweke tuikague ardhi tujilizishe
1-ukubwa wa kiwanja: 772sqmKwa makosa haya utachelewa kuuza, fanya editing;
1-eleza ukubwa wa kiwanja
2- kipo mkoa gani
3- au wilaya gani
4- bainisha unafuu wake
Na mengineyo, tangazo lazima lijitosheleze...ntakujaje pm halafu uniambie kiwanja kipo maneromango Kisarawe?