Habari, kwa mwenye uhitaji na afisa masoko/mauzo kwa biashara yake basi nipo hapa.
Mimi ni kijana wa miaka 24 uzoefu wangu ni sales and marketing department kwa miaka 2 japokuwa ni mhitimu wa chuo kikuu upande wa HRM.
Vilevile ni dereva mzuri tu na nina leseni yangu Class 'E' namba zangu ni 0685907786/0629595529