Sales and Marketing Skills: Hii ndio elimu ya juu kabisa kila mwanachuo anatakiwa kuifahamu bila kujali kozi aliyosoma hata akisahau mengine yote

Sales and Marketing Skills: Hii ndio elimu ya juu kabisa kila mwanachuo anatakiwa kuifahamu bila kujali kozi aliyosoma hata akisahau mengine yote

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2015
Posts
914
Reaction score
566
Hata uwe mbunifu mkubwa kiasi gani huwezi kunufaika ikiwa hujui jinsi ya kuuza ulichobuni.

Ukiamua kuingia katika ujasiriamali bila hii elimu utajikuta unapiga marktime na kurudi katika kuuza CV.

Tujitahidi
 
Sasa utafanyaje kazi zote mtu mmoja wewe buni waachie watu wa matangazo wakutangazie ulichobuni
 
Back
Top Bottom